Leza (kutoka Kiingereza laser, akronimi ya fungu la maneno "Light Amplification by Stimulated Emission of Radiation") ni chombo cha kukuza na kushadidisha miali kuelekea upande mmoja kutengeneza mwangaza leza.
Kifaa hiki ni maalumu, si kama taa nyingine za kutoa mwangaza na miali yake ina matumizi mengi.
Leza ina historia kubwa na ni mojawapo wa nyanja zilizofanyiwa utafiti mkubwa tangu mwaka 1917. Utafiti wa leza umekua kutokana na utafiti wa mnururisho (radiation) na utafiti wa usumakuumeme (electromagnetism).
Leza ina matumizi mengi yakiwemo:
|date=
(help)
|date=, |accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |